Longhorn imeandaa mwongozo huu wa mwalimu wa kidato cha tatu ili kumwezesha mwalimu kukuza umilisi wa wanafunzi wa kuelewa dhana madhubuti, kudadisi na kupata maarifa, na mahitaji yote ya mtaala mpya ili kuwe na matokeo bora ya silabasi ya Kiswahili kwa kidato cha tatu.
Wandishi wa kitabu hiki cha mwongozo wa mwalimu ni walimu hodari wa Kiswahili ambao wamefundisha Kiswahili darasani kwa miaka mingi. Uzoefu wao umechangia sana katika usanifu wa mwongozo huu wa kuridhisha.